FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Kaká naona kakumbana na vigingi vya kiafrika.

Brazil wanaanza mashambulizi, dakika ya 75 hiyo inakwenda
 
Brazil watashinda kwa kuwa ni wazoefu but South Africa wamecheza inavyotakiwa
 
Alves kawapatia bao dakika ya 87, ilikuwa free kick ambayo imeenda moja kwa moja wavuni!
 
The game is over, SA out!

Final ni Brazil vs US.

Mshindi ni Brazil (as I can bet!)
 
Hongereni SA mmejitahidi manake mmeonyesha soka safi ila bahati sio yenu, taifa star nao wajitahidi jamani
 
Back
Top Bottom