pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
RUSSIA VS. NEW ZEALAND!Shikamoo wakuu,kipenga ndo kimepulizwa,haya bas nangoja maoni yenu na mipasho pia!Shukran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una supersport 3 au 5 jombaa ni live.Mi natizama mchuano wenyewe kupitia KweseSports.Haya mashindano yataoneshwa chanel gan wadau?
Dstv ss3 na select2Haya mashindano yataoneshwa chanel gan wadau?
Unaonaje jombaa,mimi New Zealand nafa nayo bure tu,Russia ni presha za home tu NZ wanasakata dimba aisee!Mapumziko Urusi akiwa anaongoza kwa goli moja.
Kwa jinsi nilivyoona kipindi cha kwanza NZ analala leo.Unaonaje jombaa,mimi New Zealand nafa nayo bure tu,Russia ni presha za home tu NZ wanasakata dimba aisee!
Sawa jombaa nimekubali,NZ yangu kwishney,Fulltime 2-0 Ntafatilia game za Russia sana kwanzia sasa.Wana confidence.Kwa jinsi nilivyoona kipindi cha kwanza NZ analala leo.
Hii ni mechi ya kwanza labda umezoea club football kwenye international football,confederation cup ni kitu babkubwa.We ngoja!Mechi yenyewe imepooza mbaya
sawa mkuuHii ni mechi ya kwanza labda umezoea club football kwenye international football,confederation cup ni kitu babkubwa.We ngoja!