FIFA confederations cup:Russia 2017 kick off!

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
RUSSIA VS. NEW ZEALAND!Shikamoo wakuu,kipenga ndo kimepulizwa,haya bas nangoja maoni yenu na mipasho pia!Shukran.
 
Hii ungepost kule jukwaa la Sports ingechangamkiwa sana! Hapa sidhani
 
RUSSIA 1:NEW ZEALAND 0 Bao la Glushakov limewapa Russia motisha aisee,dakika za mbele kipindi cha kwanza New Zealand wamefanya mashambulio ya kweli.
 
Mapumziko Urusi akiwa anaongoza kwa goli moja.
 
Hizi timu zinatumia mfumo wa kujilinda zaidi. 5-3-2
 
Kwa jinsi nilivyoona kipindi cha kwanza NZ analala leo.
Sawa jombaa nimekubali,NZ yangu kwishney,Fulltime 2-0 Ntafatilia game za Russia sana kwanzia sasa.Wana confidence.
 
Loe naona Cameroon naye anapoteza mchezo hapa. Pamoja na goli la Chile kukatiliwa sioni jamaa wakitoka hapa.
 
Mpira wa Cameroon na Chile sasa ni mapumziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…