christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
Tuzo nimeona kane kakunja ndita balaaaaa....unaona kabisa facial expression yake kuwa anachukia..anapiga makofi na kucheka kinafikiiiiKama Harry kane hayumo basi tuzo batili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo nimeona kane kakunja ndita balaaaaa....unaona kabisa facial expression yake kuwa anachukia..anapiga makofi na kucheka kinafikiiiiKama Harry kane hayumo basi tuzo batili.
Kama Sanchez hayumo ni batili hiko....Kikosi cha Dunia kwa mwaka 2017 ni Buffon,Dani Alves,Marcelo,Ramos,Bonucci,Modric,Kroos,Andres Iniesta,Messi,Neymar na Ronaldo.
Sí Wana uwezo mkuu ! Ni wazi walikuwa World Top Class players kwa mwaka uliopitaWazung noma sana kile kikosi mbona cha timu tatu tu
wanatudanganya sana
Ni sawa mkuu, C. Ronaldo kaiwezesha Ureno kutwaa kombe la ulaya, kaiwezesha RM kutwaa UEFA na kombe la hispania ukiacha na success zingine kibao. Ni ushabiki uchwara tu kusema kwamba hakufanya kitu.acha ushabiki mavi kila mfuatiliaji soka anajua kabisa kwa mwaka huu ronaldo anastahili na hana mpinzani kafanya makubwa sana msimu uliopita akiwa na madrid na ureno
Leo,nchini Uingereza,kutatolewa tuzo kwa Mwanasoka bora Duniani. Wagombea watatu waliosalia ni Christiano Ronaldo,Lionel Messi na Neymar.
Kutatolewa pia tuzo za mwanasoka bora wa kike,kocha bora,timu bora,goli bora na kadhalika. Karibuni tupashane
HATIMAYE,MCHEZAJI BORA WA DUNIA NI CHRISTIANO RONALDO
==================
![]()
Cristiano Ronaldo has been named Best FIFA Men's Player ahead of Lionel Messi for the second successive year.
Real Madrid forward Cristiano Ronaldo was presented with the 2017 award by Diego Maradona and former Brazil striker Ronaldo at the London ceremony after beating off competition from Messi and the world's most expensive player, Neymar.
Source: Sky Sports
Kwa msimu uliopita kiwango chake kilikuwa ni cha kupigania tuzo za EPL peke yake, labda msimu huu Uefa afanye maajabu ili afikiriwe kwa mwakani. Hata medali moja ya club hana! Yaani hata ya kombe la bata!Kama Harry kane hayumo basi tuzo batili.
Ili uwe listed kwenye uchezaji bora ni lazima uwe na mafanikio kwenye ligi na anagalau timu yako ya taifa kwenye michuano mikubwa. Kane hata kuiwezesha spurs kuchukua ubingwa kashindwa, Uingereza kuchukua kombe la ulaya kashindwa sasa tumuweke wapi?Kwa msimu uliopita kiwango chake kilikuwa ni cha kupigania tuzo za EPL peke yake, labda msimu huu Uefa afanye maajabu ili afikiriwe kwa mwakani. Hata medali moja ya club hana! Yaani hata ya kombe la bata!
Labda Mkuu atakuwa amepitiwa, vidole vikateleza kwenye keyboard.Ili uwe listed kwenye uchezaji bora ni lazima uwe na mafanikio kwenye ligi na anagalau timu yako ya taifa kwenye michuano mikubwa. Kane hata kuiwezesha spurs kuchukua ubingwa kashindwa, Uingereza kuchukua kombe la ulaya kashindwa sasa tumuweke wapi?
Pole sana mkuu.Kingamuzi kimeisha kifurushi mwezi wa 3 huu sijanunua kifurushi....
Kwa hiyo unajua soka zaidi ya hao waliompa hiyo tuzo? Wabongo bhana ujuaji kila kitu wakati ni ushabiki tu...Ronaldo hamna kitu Ila ndio mshindi. Bure kabisa
Ronaldo hamna kitu Ila ndio mshindi. Bure kabisa
Rugby ya Uingereza haijatoa hata mchezaji mmoja katika kikosi cha dunia.