FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa.
-
UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf na AFC nazo zikieleza wasiwasi wao.

Soma Pia:
-
Haya ndiyo mambo matano muhimu unayopaswa kujua kuhusu mjadala huu.
 
Sasa wawekezaji wakinunua hisa si wataingiza masilahi yao ya kibiashara kwenye mpira. FIFA ibaki tu kuwa non-profit organization.
 
Back
Top Bottom