Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa.
-
UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf na AFC nazo zikieleza wasiwasi wao.