demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF.
Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo huo dirisha la usajili nchini Congo lilikuwa limekwisha fungwa hivyo asingeweza kurudi DC Motema Pembe.
Doxa alipeleka mashtaka yake kwenye ngazi za juu za mpira wa miguu. Sasa Rungu kali la kumlipa fidia limeidondokea familia ya Makolokolo FC. Tusisahau kuwa Bajeti ya Makolo FC msimu huu umepungua pakubwa baada ya boss Mo kuona pesa nyingi sana zinatumika pasi na impact kuonekana.