FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

Huyu jamaa kanikosha sana, katuwakilisha wachoma nyama wote duniani, iwe vingunguti, kwa mromboo n.k.
 
Rihana hakuwa na kibali lakini alishika mwaka 2014. Na fifa hawakufanya chochote

Salt bae hajavamia uwanjani kienyeji tu.

Fifa wenyewe wamempa salt bae kibali kikubwa na alikivaa wakati anaingia uwanjani.. salt bae alikuwa na FIFA VIP BADGE ambayo ilimpa access ya kuingia kwenye pitch bila walinzi kumsumbua.
Nauliza tena, Rihana alienda kuwapora kombe wachezaji na kuanza kuwalazimisha kupiga nao picha?
 
Kwani fifa wamesema kupora au kulishika
Nakumbuka kuna kipindi shuleni enzi niko form 2 ilikuwa hairuhusiwi kusoma Prepo darasa moja na madem usiku...
Mwanzoni ilikuwa ukikamatwa kwa madem utapigwa stiki tu.

Lakini kwakuwa watu walikuwa hawana hata skendo ikafika mda ikawa kawaida tu men kwenda madarasa ya madem kusoma au dem kuja darasa la mamen usiku kusoma.

Sasa ilipofika hatua ya kuzoeleka siku moja maticha wakawadaba njemba mbili zinagonga dem mmoja kwenye giza.
Kuanzia hiyo siku wakarudisha ile sheria na ikaanza kuwa strict zaidi knoma, ikionekana tu suruali yako kwenye darasa la madem utakula miti ya kutosha na shule unaweza kufukuzwa kabisa.

Salt bae asingepora na kufosi mapicha, angekuwa cool tu na casual, angelishika vizuri tu na wala tusingekuwa tunamjadili hapa
 
Back
Top Bottom