luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ulimsikia Nikki mwendwa baada ya kutenguliwa ni nn aliwaambia wa kenya ?Egypt iko pia na caretaker committee na haikupewa ban na FIFA
Ukijua vile wakenya hawajali na hilo tishio la kupigwa marufuku na FIFA mradi panyooke, hata usingeongea. Tumesubiri hiyo ban kwa hamu na gamu.Ulimsikia Nikki mwendwa baada ya kutenguliwa ni nn aliwaambia wa kenya ?
Hapa Afrika ktk soka kuna mataifa ya kaskazin wana kuwa treated better na kwa umakin kuliko SSCs
Ivi ufungie Egypt yaan the moment una maliza press huko nje ya jengo la CAF chaos watu wanafanya fujo kurusha mawe n.k kwa maana iyo msi ji compare na nchi kama Egypt , eti Morroco, Algeria, Tunisia,
Yaan hapo nyie msubirie Rungu la FIFA No way OUT
Basi tukiaa iyo hamu na gamu uipateUkijua vile wakenya hawajali na hilo tishio la kupigwa marufuku na FIFA mradi panyooke, hata usingeongea. Tumesubiri hiyo ban kwa hamu na gamu.
Tuko tiyari. Miaka kama tano hivi itatutosha.Basi tukiaa iyo hamu na gamu uipate