FIFA kuishushia rungu Kenya

FIFA kuishushia rungu Kenya

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk kundinla kuwania kufuzu WC 2022

Lazima mle Rungu Kesho, shabashiiiiii , CS. Amina ametimua nikk mwendwa.
 
Egypt iko pia na caretaker committee na haikupewa ban na FIFA
 
Ulimsikia Nikki mwendwa baada ya kutenguliwa ni nn aliwaambia wa kenya ?

Hapa Afrika ktk soka kuna mataifa ya kaskazin wana kuwa treated better na kwa umakin kuliko SSCs

Ivi ufungie Egypt yaan the moment una maliza press huko nje ya jengo la CAF chaos watu wanafanya fujo kurusha mawe n.k kwa maana iyo msi ji compare na nchi kama Egypt , eti Morroco, Algeria, Tunisia,

Yaan hapo nyie msubirie Rungu la FIFA No way OUT
 
Ukijua vile wakenya hawajali na hilo tishio la kupigwa marufuku na FIFA mradi panyooke, hata usingeongea. Tumesubiri hiyo ban kwa hamu na gamu.
 
Basi tukiaa iyo hamu na gamu uipate
 
Nick mwendwa n mshenz Sana ameharibu
Kabisa soka la Kenya wacha Tu aendelee kunyeaa ndo pale muthaiga mpaka juma 5
Mahakaman
 
Back
Top Bottom