Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa naona Marekani anahusika kwa kiasi kikubwa sana huko.Kuna kirusi kwenye kambi inayofanya mapendekezo na maamuzi, nahisi watu wamehongwa ili waharibu radha ya mpira na washabiki tuje kwenye Basket Ball, American Football, Baseball, na michezo mingine.
Maana soccer imedominate kwa muda mrefu na haionekani kuanguka.
Kabisa naona Marekani anahusika kwa kiasi kikubwa sana huko.
Nimeona juzi kwenye hizi mechi za mabara inakera yaani..inabidi mchezaji ukifunga goli usishangilie kwanza usuburi kideo kinasemajesheria kibao zinapoteza ladha ya mpira!!!! kuna kitu inaitwa Assistant Video Refaree ni upuuzi mwingine
FIFA imepata bashite aisee,kila siku jamaa anafikiria namna ya kuondoa radha ya mpira,sitashangaa nikisikia akipendekeza wachezaji sasa wawe 9 kila timu.
Mpira wenyewe umewahi au unakuja kucheza au unaropoka tuHawa wehu nini?!dakika 90 zenyewe ni chache
Umesikika,peleka mawazo yako FIFA(website yao)yawafikie na uyabadili yawe kwa lugha ya malikia.Vinginevyo humu utakuwa unajipongeza umemwaga point haswa na wamekuelewa.Au kiurahisi zaidi nenda ofisi ya TFF Dar,mwone rais achukue mawazo yako ayapeleke huko.Sawa akili tatu?mi nadhani ingekuwa busara akaongeza kila kipindi ndio iwe dakia 60,yani kipindi cha kwanza dakika 60 kipindi cha pili dakika 60,extra time iwe dakika 40 penalti ziwe 10 kwa 10,kusiwepo na offsaid na kadi nyekundu iondolewe iwe kadi ya njano,na nyeusi,yani mchezaji akifanya kosa anapwa kadi ya njano,akirudia anapigwa tena kadi ya njano,akirudia mara ya tatu anapigwa tena kadi ya njano,mara nne anapigwa kadi nyeusi ya kumsimamaisha kucheza mpira kwa muda wa miezi mitatu
Duuh kweli hizi akili tatu.. Khaaa...!!mi nadhani ingekuwa busara akaongeza kila kipindi ndio iwe dakia 60,yani kipindi cha kwanza dakika 60 kipindi cha pili dakika 60,extra time iwe dakika 40 penalti ziwe 10 kwa 10,kusiwepo na offsaid na kadi nyekundu iondolewe iwe kadi ya njano,na nyeusi,yani mchezaji akifanya kosa anapwa kadi ya njano,akirudia anapigwa tena kadi ya njano,akirudia mara ya tatu anapigwa tena kadi ya njano,mara nne anapigwa kadi nyeusi ya kumsimamaisha kucheza mpira kwa muda wa miezi mitatu