FIFA kuja na mabadiliko kadhaa kwenye soka ikiwemo kupunguza muda mpaka dakika 60

Ladha ya mpira inazidi kupotea, raha ya mpira inaendana na kupoteza muda,offside,goli tata,muda
 
Kwakuwa ni mapendekezo na sio kwamba muswada umepita natumaini wapiga kura/wafanya maamuzi watuendea huu mchezo haki. Na kufanya kile chenye manufaa kwa washabiki na wachezaji.
 
Kabisa naona Marekani anahusika kwa kiasi kikubwa sana huko.
 
Kabisa naona Marekani anahusika kwa kiasi kikubwa sana huko.

Michezo ya Marekani imeshindwa kupenya duniani, huku soka likishindwa kupenya Marekani ila dunia nzima linapendwa.

Sasa nikiona huu uharibifu najua kabisa jamaa wanataka kuua raha ya soka, dakika 60 nazikataa kwa nguvu zote, teknolojia hii mpya labda tutaizoea lakini nadhani inapunguza utamu wa kushangilia goli.
 
FIFA imepata bashite aisee,kila siku jamaa anafikiria namna ya kuondoa radha ya mpira,sitashangaa nikisikia akipendekeza wachezaji sasa wawe 9 kila timu.
 
sheria kibao zinapoteza ladha ya mpira!!!! kuna kitu inaitwa Assistant Video Refaree ni upuuzi mwingine
Nimeona juzi kwenye hizi mechi za mabara inakera yaani..inabidi mchezaji ukifunga goli usishangilie kwanza usuburi kideo kinasemaje
Haya mambo waachieni watu wa NBA raha ya mpira ni hayo makosa
 
Akili zao kama maafsa masoko wa mitandao ya bongo wanapunguza mb wanaongeza dakika.

Uenda hapo ikawa dakika za kuongezwa na kipa kupatiwa matibabu zikawa nyingi hadi kufikia kama kipa akitakiwa kutiwa drip atiliwe hapo hapo uwanjani.
 
FIFA imepata bashite aisee,kila siku jamaa anafikiria namna ya kuondoa radha ya mpira,sitashangaa nikisikia akipendekeza wachezaji sasa wawe 9 kila timu.

anavyoendelea atapunguza hadi ukubwa wa viwanja badala ya mita 100 akaweka mita 60
 
Umesikika,peleka mawazo yako FIFA(website yao)yawafikie na uyabadili yawe kwa lugha ya malikia.Vinginevyo humu utakuwa unajipongeza umemwaga point haswa na wamekuelewa.Au kiurahisi zaidi nenda ofisi ya TFF Dar,mwone rais achukue mawazo yako ayapeleke huko.Sawa akili tatu?
 
hii fifa inataka kufanya nihamie katika boxing haiwezekan mpira uchezwe kwa lisaa limoja ni ushoga huo
 
Duuh kweli hizi akili tatu.. Khaaa...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…