FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

Mikia fc watanufaika sana na haya mabadiliko, ukizingatia wengi wa wachezaji wao ni waviziaji waliokubuhu
 
Hilo la penati litapunguza ladha na magoli. Naunga mkono hilo la red card kuwa njano ikishika mpira. Kupunguza idadi ya mechi 80-50 ni kutunyima raha watazaji na litapunguza idadi ya wachezaji wanaosajili so kupunguza ajira. Issue ya idadi ya sub naiunga mkono pia
Hapo watu wakubet watamaind kinoma
 
Hilo la penalt na offside halina mashiko, sub 5-7 ni vzur, England wana game nyng sana wapunguze kwel
 
Kuna kijana wanamwita njegere ndogo (chicharito) Javier hernandez...Huyu jamaa ni offside player hatari...hapo watakuwa wamemuongezea idadi ya magoli kwa msimu.
 
Hii ya offside itamsaidia sana Mavugo kuondokana na ukame na baa la njaa ya magoli
 
Offside na penalty zibaki kama zilivyo sasa. La sivyo, mpira wa miguu utakuwa na magoli mengi sana kama mpira wa kikapu.

Na ufundi wa kiuchezaji utapungua uwanjani
 
Yan kila sku ubora wa,soccer
Unazd kupotea

C ungi.mkono hoja yyt hapo
Maana kama watabadili
Hizo sheria bhas
Na ladha ya mpira itakua imeishaa
 
Sasa wachezaji wote wakiona timu inataka kufungwa watakuwa wanadaka mpira sababu watajua way a pews kadi za njano

Ni upuuzi mtupu labda suala la sub tu
 
Wafanye pia kama Basketball yani ukipata mpira unatakiwa kushambulia tu ndani ya secunde kadhaa na sio mnatoleana pasi dakika kumi.. Hii ya kushambulia imesaidia sana basketball ni secunde 24 tu unatakiwa ushot mpira kwenye ream au goal.. ila ile style ya suarezi mie nasema iwe red card na mchezaji afungiwe kucheza hata mwaka mmoja ile ni zaidi ya maudhi... kuruhusu offside si tutakuwa tunavizia magori kama enzi zetu hahaha unabana karibu na kipa tu and then unaomba pasi huu ni upuuzi
 
nasikia jamaa kafurahi.
cropped_REU_2375861__2_.jpg
Ataachaje kufurahi wakati anategemea kupewa na kumalizia!!!! Tena ataongeza mkataba mpaka 2024 ili amzidi pele...hebu niambie angekuwa same position na king sijui angeyapata wapi magoli yote hayo...hapo ndio utaona utofauti wa Energy na Talent..king iz marvellous banaa
 
Wafanye pia kama Basketball yani ukipata mpira unatakiwa kushambulia tu ndani ya secunde kadhaa na sio mnatoleana pasi dakika kumi.. Hii ya kushambulia imesaidia sana basketball ni secunde 24 tu unatakiwa ushot mpira kwenye ream au goal.. ila ile style ya suarezi mie nasema iwe red card na mchezaji afungiwe kucheza hata mwaka mmoja ile ni zaidi ya maudhi... kuruhusu offside si tutakuwa tunavizia magori kama enzi zetu hahaha unabana karibu na kipa tu and then unaomba pasi huu ni upuuzi

Mkuu! Kwenye offside wamechemsha aisee..
 
Kuondoa Offside Kutafanya Washambuliaji WAVIVU Kama CHIRWA na KICHUYA Kukaa na Golikipa Kwa dakika zote 90

Ndiyomaana nasema striker na kipa wawe na kazi ya kupokezana bilika la kahawa, mana watakua na kazi ya kupiga zogo muda wote...
 
Yan kila sku ubora wa,soccer
Unazd kupotea

C ungi.mkono hoja yyt hapo
Maana kama watabadili
Hizo sheria bhas
Na ladha ya mpira itakua imeishaa

Mkuu ya penalt na sub ipo poa...ila zingine wameharibu kabisa..
 
Back
Top Bottom