Hapo watu wakubet watamaind kinomaHilo la penati litapunguza ladha na magoli. Naunga mkono hilo la red card kuwa njano ikishika mpira. Kupunguza idadi ya mechi 80-50 ni kutunyima raha watazaji na litapunguza idadi ya wachezaji wanaosajili so kupunguza ajira. Issue ya idadi ya sub naiunga mkono pia
Na wale wapenda netball wa yanga akina hamisa tambwe watafurahi sanaWale wapenda penalti wa Msimbazi watalalamika sana.
Ataachaje kufurahi wakati anategemea kupewa na kumalizia!!!! Tena ataongeza mkataba mpaka 2024 ili amzidi pele...hebu niambie angekuwa same position na king sijui angeyapata wapi magoli yote hayo...hapo ndio utaona utofauti wa Energy na Talent..king iz marvellous banaanasikia jamaa kafurahi.
Wafanye pia kama Basketball yani ukipata mpira unatakiwa kushambulia tu ndani ya secunde kadhaa na sio mnatoleana pasi dakika kumi.. Hii ya kushambulia imesaidia sana basketball ni secunde 24 tu unatakiwa ushot mpira kwenye ream au goal.. ila ile style ya suarezi mie nasema iwe red card na mchezaji afungiwe kucheza hata mwaka mmoja ile ni zaidi ya maudhi... kuruhusu offside si tutakuwa tunavizia magori kama enzi zetu hahaha unabana karibu na kipa tu and then unaomba pasi huu ni upuuzi
Sure sipati Picha Pipo Inzhagi anaweza rejea tena kucheza SoccerMkuu! Kwenye offside wamechemsha aisee..
Kuondoa Offside Kutafanya Washambuliaji WAVIVU Kama CHIRWA na KICHUYA Kukaa na Golikipa Kwa dakika zote 90
Sure sipati Picha Pipo Inzhagi anaweza rejea tena kucheza Soccer
Yan kila sku ubora wa,soccer
Unazd kupotea
C ungi.mkono hoja yyt hapo
Maana kama watabadili
Hizo sheria bhas
Na ladha ya mpira itakua imeishaa