moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Feb 10, 2017 #101 dvjnews5 said: soka limekufa Click to expand... Mkuu halijafa, maamuzi hayo hayajapitishwa. maoni ya wadau kama wewe na Mimi yatazingatiwa. ndio maana mapendekezo yanapelekwa kwenye vikao
dvjnews5 said: soka limekufa Click to expand... Mkuu halijafa, maamuzi hayo hayajapitishwa. maoni ya wadau kama wewe na Mimi yatazingatiwa. ndio maana mapendekezo yanapelekwa kwenye vikao
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Feb 10, 2017 #102 Ikipita hiyo ya OFFSIDE Simba itakuwa na lundo la magoli maana ni MAVIZIAJI kweli uwanjani.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Feb 10, 2017 #103 jogi said: Yanatakiwa yapitishwe fasta kabla hatujakutana nao, na hivi mwenyekiti wao amevurugwa tutaivunja rekodi yetu tuliyoiweka kwa kandambili Teh teh teh. Click to expand... Teh teh teh,uko sahihi mkuu
jogi said: Yanatakiwa yapitishwe fasta kabla hatujakutana nao, na hivi mwenyekiti wao amevurugwa tutaivunja rekodi yetu tuliyoiweka kwa kandambili Teh teh teh. Click to expand... Teh teh teh,uko sahihi mkuu
alquin maxmillian madoro JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 374 Reaction score 251 Feb 10, 2017 #104 Aaaaahhh kuondoa offside hilo siafiki,sasa utakuwa ni mpira au kombolela??? Magoli yatakuwa ya kumiminika hadi kero
Aaaaahhh kuondoa offside hilo siafiki,sasa utakuwa ni mpira au kombolela??? Magoli yatakuwa ya kumiminika hadi kero
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Feb 10, 2017 #105 Haya mambo yatapunguza radha ya mpira huyu mzee anataka mpira uwe rede??
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Feb 11, 2017 #106 Hili la Kupunguza idadi ya mechi sidhani kama litapita