FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

Ikipita hiyo ya OFFSIDE Simba itakuwa na lundo la magoli maana ni MAVIZIAJI kweli uwanjani.
 
Yanatakiwa yapitishwe fasta kabla hatujakutana nao, na hivi mwenyekiti wao amevurugwa tutaivunja rekodi yetu tuliyoiweka kwa kandambili
Teh teh teh.
Teh teh teh,uko sahihi mkuu
 
Haya mambo yatapunguza radha ya mpira huyu mzee anataka mpira uwe rede??
 
Hili la Kupunguza idadi ya mechi sidhani kama litapita
 
Back
Top Bottom