FIFA na kadi ya Bluu

mfano kadi umepewa dk ya 89 na zile za nyiongeza zikaisha let's say zimeongezwa 5 zikaisha vp kuhusu zile 5 nyingne zilizobaki zitafidiwa vipi?

au bado ni wazo tu maana nisifike mbali
 
Waweke uwezekano wa kuwa na makipa roboti, kocha aruhusiwe kuingia uwanjani anapoona mambo magumu, mashabiki na wachambuzi waweze kucheza game wakiiona haipo sawa (yaani kama wachezaji wanadevela)
 
😁
 
mh! sheria zikiwa nyingi sana zitaua mchezo
 
mfano kadi umepewa dk ya 89 na zile za nyiongeza zikaisha let's say zimeongezwa 5 zikaisha vp kuhusu zile 5 nyingne zilizobaki zitafidiwa vipi?

au bado ni wazo tu maana nisifike mbali
#FIFA Wapo kwenye majaribio tutaona Sheria zao.
 
Waweke uwezekano wa kuwa na makipa roboti, kocha aruhusiwe kuingia uwanjani anapoona mambo magumu, mashabiki na wachambuzi waweze kucheza game wakiiona haipo sawa (yaani kama wachezaji wanadevela)
UKionewa mechi ijayo unazama ndani kuchezesha
 
Hii nzuri.
Hapo lefa wa bongo mkipa misimbazi 20 tu atawapa kadi za blue timu pinzani mpaka mushinde
 
Kuna watu humu wanasema ladha ya soka itapungua.
Nina maswali machache tu kwao;
1. Hizi Sheria zilizopo walishiriki kuziweka?
2.Je, zingekuwa Sheria 10 tu , mungesema Sheria ziko chache hivyo ladha ya soka itapungua?
Waacheni watu wenye akili wabuni kitu ambacho wao wanaona kinafaa, sisi wajibu wetu ni kuiga na kukubali basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…