FIFA na kadi ya Bluu

Kipindi Fifa wao wanataka kujaribu hiyo card huku uswahilini tumekuwa tukitumia hiyo njia ambapo mchezaji huwekwa nje kwa mda flani akileta ukorofi
Njia hii huwa ni kandamizi sana pale refa anapokuwa na hila team mf ilitugharim sana hadi kufungwa pale captain wetu alipowekwa nje kwa mda na refa alimrudisha baada ya sisi kutanguliwa
 
Hahahaha soka ni full burdan
 
Kadi ya bluu akipewa kipa halafu timu pinzani ikipata penalti utatumika utaratibu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…