The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Cape Verde ndio team pekee ambayo haikufungwa na huyo Bingwa wa Dunia.Unai alikuwa hashambuliwi kutokana na aina ya uchezaji wa Spain
Wana mchango kwenye goli ngapi?Olise hakuna katika kiwango Bora hii world cup
Wangemuweka Dan Olmo au Yamal
Dan Olmo hana hata goli moja ila ana assists mbili,Wana mchango kwenye goli ngapi?
Halafu kipa bora wa mashindano hayupo kwenye kikosi.Timu imeishia 16bora eti nayo imetoa kipa bora!
Labda hujui vigezo vilivyotumika kupata hiyo WC - XI 2026.Timu imeishia 16bora eti nayo imetoa kipa bora!
Yule kipa wa Hispania ni kibokoLabda wameangalia saves za hatari zaidi. Unai Simon watu walikuwa hawafiki golini kwake mara kwa mara. Imagine Argentina hawakupiga shot on target hata moja. Team work imembeba sana!. Hajakutana na real challenge ya kupima uwezo wake!
Hakukutana na kashkash kama za Vozinha(kipa wa Capo Verde)Yule kipa wa Hispania ni kiboko
Ni mzuri,ila ukuta wake nao ulichangia.Yule kipa wa Hispania ni kiboko
Najua unamtaka yamal kakaKikosi cha hovyo.
Basi wewe mkuu tupe sababu ya Brazil kutoka kwenye timu za Taifa ambazo ni tishio kwenye WC,unapewa sababu unasema ni myth.Mkuu,kama ingekua ni laana kumuacha Romario WC2002 basi Brazil wasingechukua kombe la World Cup mwaka huo,
Luiz Fellipe Scolari alisimamia msimamo wake wa kutokumuita Romario licha ya pressure na kelele dhidi yake na akaionyesha Dunia kwa kulichukua kombe,
kusema laana hizo ni myth.
Laana huanza wakati wowote mfano England wanatembea na laana ya kumfanyia unyama Roman Abromavich walimforce aachie uwekezaji wake kwenye klabu ya Chelsea eti kwa sababu ya vita ya Ukraine na RusiaMbona walichukua WC 2002?
Tangu 1966 huyo Abramovich alikuwepo? Acha kuandika mashuduLaana huanza wakati wowote mfano England wanatembea na laana ya kumfanyia unyama Roman Abromavich walimforce aachie uwekezaji wake kwenye klabu ya Chelsea eti kwa sababu ya vita ya Ukraine na Rusia