Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,051 Reaction score 51,217 Jul 23, 2026 #41 pmwasyoke said: Yaani kungekuwa na watu kwenye sayari nyingine, hawa ndio wangeiwakilisha dunia? Click to expand... Kombe la dunia litapata mantiki project ya Mars ikikamilika. Watakao hamia huko watakuwa wanacheza na hawa walioko huku.
pmwasyoke said: Yaani kungekuwa na watu kwenye sayari nyingine, hawa ndio wangeiwakilisha dunia? Click to expand... Kombe la dunia litapata mantiki project ya Mars ikikamilika. Watakao hamia huko watakuwa wanacheza na hawa walioko huku.
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Jul 23, 2026 #42 vikosi uchwarwa, Jude na Olise wote walicheza position moja kwanini wote wakuwemo? wamekwapa kuweka no 8. Mbappe na Halland wote walicheza position moja wamekwepa left winger
vikosi uchwarwa, Jude na Olise wote walicheza position moja kwanini wote wakuwemo? wamekwapa kuweka no 8. Mbappe na Halland wote walicheza position moja wamekwepa left winger
Merchante JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,476 Reaction score 3,063 Jul 24, 2026 #43 Huyo Olise anatafuta nini hapo?
Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,594 Reaction score 1,806 Jul 25, 2026 #44 MamaSamia2025 said: Tangu 1966 huyo Abramovich alikuwepo? Acha kuandika mashudu Click to expand... Acha kuita comment za wenzio mashudu,we kama unaunga mkono alichotendewa Abromavich sema .
MamaSamia2025 said: Tangu 1966 huyo Abramovich alikuwepo? Acha kuandika mashudu Click to expand... Acha kuita comment za wenzio mashudu,we kama unaunga mkono alichotendewa Abromavich sema .
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Jul 25, 2026 #45 Rodwell mTZ said: Acha kuita comment za wenzio mashudu,we kama unaunga mkono alichotendewa Abromavich sema . Click to expand... Una akili timamu?
Rodwell mTZ said: Acha kuita comment za wenzio mashudu,we kama unaunga mkono alichotendewa Abromavich sema . Click to expand... Una akili timamu?