FIFA wamesema wataonyesha mechi ya robo fainali AFL dunia nzima

Tunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.

Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.

Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.

Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.

Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.

Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.

Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.

Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIFA.

Kwa wenye akili Rajacasablanca walitufundisha kitu.
 
Masikini, unatia huruma sana mpk umekumbuka historia ya mwakani 70!!?

Pole sana mkuu na nyie mwakani mtaingia tu hii ni kawaida kwa simba lazima aanzishe kitu kisha mfuate
 
Masikini, unatia huruma sana mpk umekumbuka historia ya mwakani 70!!?

Pole sana mkuu na nyie mwakani mtaingia tu hii ni kawaida kwa simba lazima aanzishe kitu kisha mfuate
Hakuna tatizo Simba kuanzisha kwakua Simba yenyewe ni mfupa katika mifupa ya Yanga.
Shamba la bwana kheri na Mbuzi wa Bwana kheri kwaiyo ata ikitokea Mbuzi wa Bwana Kheri akaingia na kula kwenye Shamba la bwana kheri yote ni kheri.
Baba siku zote ana jivunia mtoto wake akifanya vizuri. Mafanikio yoote ya Simba wakujivunia ni Yanga.
 
Kwanza SportPesa huko alipo roho itakuwa inamuuma kwa uzembe alioufanya.

M-Bet ni kampuni lenye bahati ambalo haliwezi kuruhusu hiyo nafasi achukue mtu mwingine.
Wewe nae unakuaga Mbwiga alafu unajifanya much know Sportpesa wapo Hull city, South Hampton, Everton, Cape town city, Arsenal, hizo ni international brand hao Mbet wako wapo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…