Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzembe upi?Kwanza SportPesa huko alipo roho itakuwa inamuuma kwa uzembe alioufanya.
M-Bet ni kampuni lenye bahati ambalo haliwezi kuruhusu hiyo nafasi achukue mtu mwingine.
Kweli hii ni yakwetu tuuh!Asante kwa Taarifa
Kuna kamsemo kanatembea mtaani Simba wanasema.
# Hii HAIWAHUSU.
Tushapeleka na drones zisizo onekana...Haya ila tunasikia mnaaomba makomandoo wenu waulinde uwanja.
Nyie tena mkitaka lenu mnalifanya mpaka mbele ya kamera hamjali aibu.Tushapeleka na drones zisizo onekana...
Masikini, unatia huruma sana mpk umekumbuka historia ya mwakani 70!!?Tunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.
Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.
Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.
Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.
Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.
Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.
Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.
Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIFA.
Kwa wenye akili Rajacasablanca walitufundisha kitu.
Hakuna tatizo Simba kuanzisha kwakua Simba yenyewe ni mfupa katika mifupa ya Yanga.Masikini, unatia huruma sana mpk umekumbuka historia ya mwakani 70!!?
Pole sana mkuu na nyie mwakani mtaingia tu hii ni kawaida kwa simba lazima aanzishe kitu kisha mfuate
Wewe nae unakuaga Mbwiga alafu unajifanya much know Sportpesa wapo Hull city, South Hampton, Everton, Cape town city, Arsenal, hizo ni international brand hao Mbet wako wapo wapi?Kwanza SportPesa huko alipo roho itakuwa inamuuma kwa uzembe alioufanya.
M-Bet ni kampuni lenye bahati ambalo haliwezi kuruhusu hiyo nafasi achukue mtu mwingine.