FIFA wamesema wataonyesha mechi ya robo fainali AFL dunia nzima

Wewe nae unakuaga Mbwiga alafu unajifanya much know Sportpesa wapo Hull city, South Hampton, Everton, Cape town city, Arsenal, hizo ni international brand hao Mbet wako wapo wapi?
Unaelewa value ya ads kwenye product?

Unaelewa kwanini licha ya kwamba Pepsi na Cocacola wako around the world lakini bado wameendelea kujitangaza?
 
Utopolo kunywen sumu mfe,hii nafasi mtakuja kuipata baada ya miaka 300000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokiandika hapa ni mfano wa kitoto sana sawa na vyuo visivyo na muda mrefu sana kama UDOM kufanya vizuri katika taaluma, research na innovation mbali mbali alafu Chuo kikongwe kama udism kishindwe kufanya hivyo kianze kujivunia oooh walimu wengi wa udom walisomaga udism au walikuwaga udism zamani hahahaha.....tusingekuwa tukimsifia US au CHINA au Russia maana UK aliwatangulia mbali sana hao wote kiuchumi, technology na kijeshi ila Leo hii hao wote niliowataja hakuna ambae ni saizi UK, yaani namaanisha UK kabaki historia tu kwa hao keshaachwa mbali sana.....aya lini umeskia UK akisema maadam technology imeanziaga kwake basi yeye ndio mkali kuliko wote??? It doesn't matter umeanzaje umeanzia wapi na umeanza lini ila anaecheka mwisho ndio hucheka sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ulichokiandika hapa ni mfano wa kitoto sana sawa na vyuo visivyo na muda mrefu sana kama UDOM kufanya vizuri katika taaluma, research na innovation mbali mbali alafu Chuo kikongwe kama udism kishindwe kufanya hivyo kianze kujivunia oooh walimu wengi wa udom walisomaga udism au walikuwaga udism zamani hahahaha.....tusingekuwa tukimsifia US au CHINA au Russia maana UK aliwatangulia mbali sana hao wote kiuchumi, technology na kijeshi ila Leo hii hao wote niliowataja hakuna ambae ni saizi UK, yaani namaanisha UK kabaki historia tu kwa hao keshaachwa mbali sana.....aya lini umeskia UK akisema maadam technology imeanziaga kwake basi yeye ndio mkali kuliko wote??? It doesn't matter umeanzaje umeanzia wapi na umeanza lini ila anaecheka mwisho ndio hucheka sana
 
Unaelewa value ya ads kwenye product?

Unaelewa kwanini licha ya kwamba Pepsi na Cocacola wako around the world lakini bado wameendelea kujitangaza?
Achana nae huyo hana hajualo, Pepsi na coca wapo kila sehemu kwani wana sababu gani kwenda vinijini ilihali wao ni super brand duniani kote?? Hana analolijua huyo muache
 
Unatangaza product ambayo ipo sokoni Mbet wapo wapi tofauti na Tanganyika?
 
Bado hujasema ,na bado
 
Reactions: BRN
Fungua uzi wako Yanga
 
Daah umeongea kwa uchungu sana,, sema nin gem yenu uto na azam itaoneshwa sky sport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…