Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Dah ahhahahahhaNi jambo jema ila nawakumbusha bila Tatu Malogo pale kati dunia itaingia kwenye simanzi kama Gaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ahhahahahhaNi jambo jema ila nawakumbusha bila Tatu Malogo pale kati dunia itaingia kwenye simanzi kama Gaza
Kwanza hata kwenye Uzi wetu wa kubeti sijawahi ona kaleta mkeka toka M-bet [emoji16]Wewe nae unakuaga Mbwiga alafu unajifanya much know Sportpesa wapo Hull city, South Hampton, Everton, Cape town city, Arsenal, hizo ni international brand hao Mbet wako wapo wapi?
Hapo anajiona ametoa madini, hao Mbet hawavuki broader wanafaidika na nini sasa?Kwanza hata kwenye Uzi wetu wa kubeti sijawahi ona kaleta mkeka toka M-bet [emoji16]
Unaelewa value ya ads kwenye product?Wewe nae unakuaga Mbwiga alafu unajifanya much know Sportpesa wapo Hull city, South Hampton, Everton, Cape town city, Arsenal, hizo ni international brand hao Mbet wako wapo wapi?
Utopolo kunywen sumu mfe,hii nafasi mtakuja kuipata baada ya miaka 300000Tunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.
Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.
Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.
Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.
Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.
Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.
Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.
Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIFA.
Kwa wenye akili Rajacasablanca walitufundisha kitu.
Ulichokiandika hapa ni mfano wa kitoto sana sawa na vyuo visivyo na muda mrefu sana kama UDOM kufanya vizuri katika taaluma, research na innovation mbali mbali alafu Chuo kikongwe kama udism kishindwe kufanya hivyo kianze kujivunia oooh walimu wengi wa udom walisomaga udism au walikuwaga udism zamani hahahaha.....tusingekuwa tukimsifia US au CHINA au Russia maana UK aliwatangulia mbali sana hao wote kiuchumi, technology na kijeshi ila Leo hii hao wote niliowataja hakuna ambae ni saizi UK, yaani namaanisha UK kabaki historia tu kwa hao keshaachwa mbali sana.....aya lini umeskia UK akisema maadam technology imeanziaga kwake basi yeye ndio mkali kuliko wote??? It doesn't matter umeanzaje umeanzia wapi na umeanza lini ila anaecheka mwisho ndio hucheka sanaHakuna tatizo Simba kuanzisha kwakua Simba yenyewe ni mfupa katika mifupa ya Yanga.
Shamba la bwana kheri na Mbuzi wa Bwana kheri kwaiyo ata ikitokea Mbuzi wa Bwana Kheri akaingia na kula kwenye Shamba la bwana kheri yote ni kheri.
Baba siku zote ana jivunia mtoto wake akifanya vizuri. Mafanikio yoote ya Simba wakujivunia ni Yanga.

M bet n kampuni ya Chini sana hata bado hajafika level ya betpawa..Hapo anajiona ametoa madini, hao Mbet hawavuki broader wanafaidika na nini sasa?
Achana nae huyo hana hajualo, Pepsi na coca wapo kila sehemu kwani wana sababu gani kwenda vinijini ilihali wao ni super brand duniani kote?? Hana analolijua huyo muacheUnaelewa value ya ads kwenye product?
Unaelewa kwanini licha ya kwamba Pepsi na Cocacola wako around the world lakini bado wameendelea kujitangaza?
Una akili? nisije poteza mda wangu bure?Unaelewa value ya ads kwenye product?
Unaelewa kwanini licha ya kwamba Pepsi na Cocacola wako around the world lakini bado wameendelea kujitangaza?
Unatangaza product ambayo ipo sokoni Mbet wapo wapi tofauti na Tanganyika?Achana nae huyo hana hajualo, Pepsi na coca wapo kila sehemu kwani wana sababu gani kwenda vinijini ilihali wao ni super brand duniani kote?? Hana analolijua huyo muache
Bado hujasema ,na badoTunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.
Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.
Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.
Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.
Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.
Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.
Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.
Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIFA.
Kwa wenye akili Rajacasablanca walitufundisha kitu.
Hata akichezesha hersi saidi na vibendera wakiwa ally kamwe haji manara simba lazima itashinda tuuNi jambo jema ila nawakumbusha bila Tatu Malogo pale kati dunia itaingia kwenye simanzi kama Gaza
Ila wanaumia sanaaaAsante kwa Taarifa
Kuna kamsemo kanatembea mtaani Simba wanasema.
# Hii HAIWAHUSU.
Fungua uzi wako YangaTunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.
Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.
Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.
Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.
Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.
Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.
Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.
Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIFA.
Kwa wenye akili Rajacasablanca walitufundisha kitu.
Tunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.
Izo zote ni vibwagizo tu ambavyo ata ilo Tamasha la ufunguzi lingefanyika Djibut bado zingekuwepo na wafuatiliaji wangekuwepo.
Yanga walisha wahi kuwaalika timu ya taifa ya Brazil mwaka 1973 na ikaja timu ya under 23, watu Airport walijaa kuwapokea maana Tangu iyo timu ilipoanza ziara yake uko Asia na baadhi ya nchi za Afrika walikua wakitembeza dozi za hatari.
Iyo timu ya Brazil under 23 kushinda goli 3,5,7,9 ilikua ni kawaida kwaiyo siku ya mechi watu wali hamasika pale Taifa uwanja ulitapika.
Mwisho wa gem Brazil walikufa 3-1.
Wakaja Astoni villa mabingwa wa zamani wa uropa watu wali jaa pomononi, wakatoa sare na Yanga tena waki sawazisha goli jioni.
Leo hii tunacho kumbuka ni matokeo na si vibe.
Ninacho wakumbusha mbumbumbu fc wasikaze fuvu kwenye vitu visivyo na msingi, timu yao ina mapungufu mengi wajadiliane namna ya kushauri na kurekebisha.
Wakija kutandikwa kipigo cha aibu hakuna mtu atakumbuka kama Wenga alikuwepo au MO kapiga picha na Ifantino rais wa FIF sana uto gem yenu na azam itaoneshwa sky sport
Daah umeongea kwa uchungu sana,, sema nin gem yenu uto na azam itaoneshwa sky sportTunawakumbusha Mbumbumbu fc, Mpira wa miguu katika ngazi ya mashindano kunahitaji maandalizi thabit na si FIFA kuonyesha mechi, Wenga kaja uwanjani, Rais wa FIFA kapiga picha na mwekezaji.