Mara paaap June hii hapa, again kazi kazi kama kawaida ya timu, watu, hata mashabiki wenyewe huwa hakuna mbwembwe German fans tupo.
Ujerumani hawa jamaa nawakubali xana cio watu wa mbwembwe nyingi ni kazi kazi nawapa nafasi kubwa ya kutwaa kombe, hili wapo na vijana wengi wadogo ambao wanaweza kupewa majukumu makubwa na wakayatekeleza.
Wewe nani unahisi anaweza akatwaa, top four yangu hii hapa 1 GERMANY 2 BRAZIL 3 ARGENTINA 4 FRANCE