FIFA World cup 2018

FIFA World cup 2018

BAVARIAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
222
Reaction score
168
Mara paaap June hii hapa, again kazi kazi kama kawaida ya timu, watu, hata mashabiki wenyewe huwa hakuna mbwembwe German fans tupo.

Ujerumani hawa jamaa nawakubali xana cio watu wa mbwembwe nyingi ni kazi kazi nawapa nafasi kubwa ya kutwaa kombe, hili wapo na vijana wengi wadogo ambao wanaweza kupewa majukumu makubwa na wakayatekeleza.

Wewe nani unahisi anaweza akatwaa, top four yangu hii hapa 1 GERMANY 2 BRAZIL 3 ARGENTINA 4 FRANCE
 
HII SI YA KUKOSA NGOJA NIJICHANGE ,😀😀😀😀😀😀😀😀
images


upload_2018-1-26_8-26-42.png

upload_2018-1-26_8-27-5.png

upload_2018-1-26_8-27-40.png



2925536_full-lnd.jpg


World Cup tickets to cost from $105 to $1100
 
Vipi wakuu mbona hamuitabiri Portgal top four? Wakati kuna world class player
Yule kabakia Legend mkuu?

Magoli ya kuvizia World Cup wapi na wapi? Wakati kule unakutana na midume 11 kuwakilisha Taifa, siyo Club!! Full maujuzi.
 
Back
Top Bottom