wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Mali hataendaHuku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema.
Kwanini asiende?Mali hataenda
H2HHawa Ghana na South Africa inakuwaje,maana wamefungana points 13 kila mmoja na GD 4 kila mmoja.
Kwa hiyo Mzulu ishakula kwake aiseee
Ghana hapana..wepesi mno. Sema siasa ndo zinawafanya wacheze play off. Lakn siwaoni kama ni boraHuku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema.
Aisee nliona ile penalty walipewa hadi aibu kwanza hata corner iliyo zaa penalty ilikua ya uongo alf jamaa kajidondosha kizembe kabisa refa kaweka tuta dah!Ghana hapana..wepesi mno. Sema siasa ndo zinawafanya wacheze play off. Lakn siwaoni kama ni bora
Unamuachaje Simba wa Teranga aka Senegal ya Cisse. Halafu Ghana mtoe hapo, game ya.juzi kanunuaHuku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema.
Plus hata ya Congo D.R dhidi ya BeninPenalty waliyopewa Ghana dhidi ya South Africa ni mambo ya hovyo yanayo dumaza mpira wetu wa Africa.
Head to head ikoje?Hawa Ghana na South Africa inakuwaje,maana wamefungana points 13 kila mmoja na GD 4 kila mmoja.
Azzuri wameshindwa kufuzu aisee, sijui walibahatisha kwenye Euro. Wanaangukia kwenye mechi za play ofChama langu AZZURI lisije likapigwa nje tena mara hii.
3. Serbia....jamaa wamepambana sana kumzuia Portugal na Ronaldo wake.
Ghana Hana timu nzuri bora hata MaliHuku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema.
Mali wapo vizuri sana mkuuMali hataenda