Fifa World Cup 2022 Qatar

Fifa World Cup 2022 Qatar

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
3,984
Reaction score
4,132
Zijue timu zilizotinga kushiriki fainali za kombe la dunia nchini Qatar.

1. Brazi
2.Argentina
3. Serbia....jamaa wamepambana sana kumzuia Portugal na Ronaldo wake.
4.
5.
6
7
8.
9
10.
11.
12.
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32

Mambo yameanza kuwa moto,Sisi Tanzania ni kama kawaida yetu kuchagua timu za kuzishangilia.
 
Ghana hapana..wepesi mno. Sema siasa ndo zinawafanya wacheze play off. Lakn siwaoni kama ni bora
Aisee nliona ile penalty walipewa hadi aibu kwanza hata corner iliyo zaa penalty ilikua ya uongo alf jamaa kajidondosha kizembe kabisa refa kaweka tuta dah!

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom