Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sina Maana hyo Mkuu.Kila nchi wakitoa Refa unahisi itakuwaje??
Watu wana VAR na bado maamjzi yana utata, hakuna nchi isiyo na malalamiko ya waamuzo, Egypt wanaleta waamuzi kutoka nje kuchezesha baadhi ya mechi zaoSina Maana hyo Mkuu.
.
By the way, Tanzania hatujui Mpira na hatuna waamuzi wa Mpira wala Watendaji katika uongozi wa Mpira.
.
Tuna mashabiki tu wa mpira kama mimi na nyinyi wengine.
Za CAF tu chenga ndio waende FIFA.....Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
Nchi ambazo zimetawaliwa na vilabu 2 so much affiliated mpaka Rais ana upande ni ngumu kumpata mwamuzi asiye na mapenzi na upande 1Watu wana VAR na bado maamjzi yana utata, hakuna nchi isiyo na malalamiko ya waamuzo, Egypt wanaleta waamuzi kutoka nje kuchezesha baadhi ya mechi zao
Kila nchi haiwezi kutoa waamuzi BIG YES,....ila imekaaje sisi hatujawahi toa mwamuzi?Kila nchi wakitoa Refa unahisi itakuwaje??
Ukweli mtupu mwana...sio viongozi zio wachezaji sio marefa sio makochaSina Maana hyo Mkuu.
.
By the way, Tanzania hatujui Mpira na hatuna waamuzi wa Mpira wala Watendaji katika uongozi wa Mpira.
.
Tuna mashabiki tu wa mpira kama mimi na nyinyi wengine.
Hapa fifa wamelta ungese huyu mzambia anaendaje worldi cup wakati mechi ya afcon alivurunda? Alafu wanamuachaje yule mrundi bwana mdogo mrefu hivi.Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
afcon tu tunachemkaKila nchi haiwezi kutoa waamuzi BIG YES,....ila imekaaje sisi hatujawahi toa mwamuzi?
.
Kumbuka sisi tunaaminishwa ni ligi bora ya 8 Africa
huyo sikazwe hamna kitu hasa achezeshe mechi za mazembe ,atawapa penalt tu.anatokea ndola zambiaWakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
Hela zenyewe wnapewa vilaki wakati wenzao wanaenda chukua million 150 +labda wakiacha kuchukua mlungula
awamu hii akamalize mechi dakika ya 79 kabisa.Janny Sikazwe yumo tena😂