FIFA yachagua waamuzi 8 kutoka afrika kuchezesha world cup Qatar

FIFA yachagua waamuzi 8 kutoka afrika kuchezesha world cup Qatar

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
 
Sina Maana hyo Mkuu.
.
By the way, Tanzania hatujui Mpira na hatuna waamuzi wa Mpira wala Watendaji katika uongozi wa Mpira.
.
Tuna mashabiki tu wa mpira kama mimi na nyinyi wengine.
Watu wana VAR na bado maamjzi yana utata, hakuna nchi isiyo na malalamiko ya waamuzo, Egypt wanaleta waamuzi kutoka nje kuchezesha baadhi ya mechi zao
 
Za CAF tu chenga ndio waende FIFA.....
 
Watu wana VAR na bado maamjzi yana utata, hakuna nchi isiyo na malalamiko ya waamuzo, Egypt wanaleta waamuzi kutoka nje kuchezesha baadhi ya mechi zao
Nchi ambazo zimetawaliwa na vilabu 2 so much affiliated mpaka Rais ana upande ni ngumu kumpata mwamuzi asiye na mapenzi na upande 1
.
Unless simba na yanga ziwe nafasi ya 18 na 19 kwenye msimamo
 
Labda tupeleke wachambuzi wa soka ndio wengi Tanzania kuna vituo wachambuzi ni hadi kumi ,
 
Sina Maana hyo Mkuu.
.
By the way, Tanzania hatujui Mpira na hatuna waamuzi wa Mpira wala Watendaji katika uongozi wa Mpira.
.
Tuna mashabiki tu wa mpira kama mimi na nyinyi wengine.
Ukweli mtupu mwana...sio viongozi zio wachezaji sio marefa sio makocha
 
Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
Hapa fifa wamelta ungese huyu mzambia anaendaje worldi cup wakati mechi ya afcon alivurunda? Alafu wanamuachaje yule mrundi bwana mdogo mrefu hivi.

Ila huyu papa gassama nyoko hamna refa mzuri kama huyu africa. So hawa jamaa wana uhakika wa dola elf 70 kibindoni.
 
Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
• Victor Gomez (South Africa)
• Janny Sikazwe (Zambia)
• Maguette N’diaye (Senegal)
• Jean Jacques Ndala (RD Congo
.
Je Waamuzi Wetu wa Ndani Hawana Uwezo wa Kuteuliwa Kucheza Mechi Kama Hizi?
.
Kuna La Kujifunza Hapa Wakuu
huyo sikazwe hamna kitu hasa achezeshe mechi za mazembe ,atawapa penalt tu.anatokea ndola zambia
 
Back
Top Bottom