Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hii ni Nonsensia.Nonsense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Nonsensia.Nonsense.
Imekuingia hio kisawasawa. NYANI na nguruwe. Majina sahihi kbsaa kutoka kwa yule kocha aliyewatunga hayo mkamfukuzaMbumbumbu tuwekeeni source ya HII taarifa
Na pesa wametuma?Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021.
Katika barua yake kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, Rais Infantino alisema kuwa ubingwa ni matokeo ya juhudi na kutekeleza majukumu kwa kila mmoja ndani ya klabu hiyo.
"Naomba uwasilishe pongezi zangu kwa kila mtu aliyehusika katika mafanikio ya Simba SC, na kuwatia moyo waendelee kufanya kazi kwa moyo wa ushirikiano, ari na ushupavu" alisema Rais Infantino katika barua yake.
Pia alimshukuru Rais Karia wa (TFF) kwa kuchangia maendeleo na ustawi wa Mpira wa Miguu katika ukanda huu na Duniani kwa ujumla.
IMEANDIKWA NA DAUDI ELIBAHATI
Kwani hiyo ilikuwa ligi?Sasa mbona fifa hawatoi pongezi kwa Yanga kuchukua ubingwa wa mapinduzi?
Subirini hukumu ya CAS ndipo mtajua diplomacy ya FIFAUtopolo watampeleka cas huyo. Mara ooh fifa haiwapendi inawapendelea tu wanyama
Utaujua huo mwaka hukumu itakapotokaMwaka gani itakuwa?
Huhuhuhu mnasubiri embe chini ya mchongoma, uto kazi mnayoSubirini hukumu ya CAS ndipo mtajua diplomacy ya FIFA