changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Watanzania tumekuwa wavivu sana kufatilia vitu kwa kina, sio ajabu mtu kasikia stori za mtaani au kuna mnachambuzi wa chombo fulani cha habari katamka hivyo basi na watu wanalibeba kama lilivyo pasipo kujua ukweli wa hiyo taarifa.Al Ahly wachezaji watano wameitwa timu ya Egypt.
Ali Maaloul amecheza jana wakafa nne bila kwenye kikosi cha Tunisia.
Wachezaji wa Al Ahly waliopo national team
Mohamed Abdelmonem
Yasser Ibrahim
Emma Ashour
Mohmed Elshenawy
Marwan Atia
Hussein El shehat