Watanzania tumekuwa wavivu sana kufatilia vitu kwa kina, sio ajabu mtu kasikia stori za mtaani au kuna mnachambuzi wa chombo fulani cha habari katamka hivyo basi na watu wanalibeba kama lilivyo pasipo kujua ukweli wa hiyo taarifa.Al Ahly wachezaji watano wameitwa timu ya Egypt.
Ali Maaloul amecheza jana wakafa nne bila kwenye kikosi cha Tunisia.
Wachezaji wa Al Ahly waliopo national team
Mohamed Abdelmonem
Yasser Ibrahim
Emma Ashour
Mohmed Elshenawy
Marwan Atia
Hussein El shehat
Do your homework mkuu, taarifa ndio hiyo kubali au kataaWapi umepata hiyo taarifa ya Al Ahly kuomba wachezaji wabakie na kukubaliwa?
Watanzania hawana utamaduni wa kujisomea wala kudadisi kile wanachokutana nacho.Watanzania tumekuwa wavivu sana kufatilia vitu kwa kina, sio ajabu mtu kasikia stori za mtaani au kuna mnachambuzi wa chombo fulani cha habari katamka hivyo basi na watu wanalibeba kama lilivyo pasipo kujua ukweli wa hiyo taarifa.
Una taarifa kuwa Ali Maaloul leo kacheza Tunisia wakifa 4 kwa Korea ?Do your homework mkuu, taarifa ndio hiyo kubali au kataa
Mastaa wanaharibu mchezo.bora wabaki wachezji wa kawaida🤣🤣🤣🤣🪑
Kama hao wachezaji ni muhimu sana kwenye programu ya kocha Roba, viongiozi wa Makolo wamlilie Karia aongee na maraisi wenzake wa mashirikisho ya soka yenye wachezaji wao walioitwa kwenye timu za taifa.Al Ahly wao wameomba wachezaji wao muhimu wabakie kikosini na wamekubaliwa, Simba sijui wanafeli wapi . SIMBA wajiandae hii mechi itakuwa ngumu kwao
Nao waongeze cv Kwa juhudi zao🤣🤣🤣🤣🤣🪑Duuuu!!!!!
Wamegoma Percy tau na dieng wasiende na team zao zimekubaliEl Ahly wachezaji wao hawajaitwa team za taifa?
Hiyo khamsa Inaitwa 5G kipigo Cha mbwa Koko!Basi Makolo nayasubiri khamsa zao za ndani nje ili mji uwe na amani
Jana tu wachezaji 7 wa Al-Ahly walikuwa na kikosi cha timu yao ya taifa ya Misri.Al Ahly wao wameomba wachezaji wao muhimu wabakie kikosini na wamekubaliwa, Simba sijui wanafeli wapi . SIMBA wajiandae hii mechi itakuwa ngumu kwao