FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

Wabongo buana...

Kwa hiyo na Karia kaipa ubingwa Simba mara 2...

Tenga aliipa ubingwa Yanga mara ngapi?

Rage je naye aliipa Simba ubingwa mara ngapi?
Huyu ndio aliwapa yanga ubingwa Mara tatu baada ya kutolewa yanga wanasikia ubingwa kwenye bomba
 
TFF na hata FAT ni chama la wana...upigaji kama wote
 
Kwani hukumu ya FIFA ulipoisoma imeandika inamuhukumu kwenda jela?
FIFA hawana subra, sasa na huku akihukumia kwenda ndani miaka 10 hiyo ya FIFA inabaki hivyohivyo?
 
Wabongo buana...

Kwa hiyo na Karia kaipa ubingwa Simba mara 2...

Tenga aliipa ubingwa Yanga mara ngapi?

Rage je naye aliipa Simba ubingwa mara ngapi?
Mbumbumbu hiyo haijielewi.
 
Kwani hukumu ya FIFA ulipoisoma imeandika inamuhukumu kwenda jela?
Pointi yangu hapa ni kama atakwenda jela kuna maana gani tena ya kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka ilihali tayari atakuwa hayupo uraiani kwa hiyo miaka kumi?
 
Siyo yeye tu,wote wapo kimaslahi tu ila timing tu kwa Malinzi
 
Hii tuhuma kweli haiwezi kuathiri kesi aliyonayo Kisutu?
Na hivi majuzi tu mahakama iliahirisha hukumu ya kesi yake, Ingawa inaonekana ilikuwa tayari bado kusomwa tu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…