Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kuathiri au pengine ndio ikatumika kama ushahidi!
Hii tuhuma kweli haiwezi kuathiri kesi aliyonayo Kisutu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tuhuma kweli haiwezi kuathiri kesi aliyonayo Kisutu?
Samahani, naomba kujua ni nani au Taasisi gani ilishitaki huko FIFA?
Ahsante
Huyu ndio aliwapa yanga ubingwa Mara tatu baada ya kutolewa yanga wanasikia ubingwa kwenye bomba
Ukitafuta threads humu wakati Jamal Malinzi anawania kuchukua nafasi ya Leodgar Tenga kama President wa TFF, mimi niliwatahadhalisha wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na wadau wote wa soccer nchini kuwa huyo bwana alikuwa anasaka nafasi ile kwa udi na uvumba ili aende kuiba na sio kwenda kuendeleza soccer!! Hilo sasa limethibitishwa na amekwisha hukumiwa na FIFA na bado hukumu ya mahakama za JIWE!!!
FIFA hawana subra, sasa na huku akihukumia kwenda ndani miaka 10 hiyo ya FIFA inabaki hivyohivyo?
........Alisikika Bi Hindu.Huyu ndio aliwapa yanga ubingwa Mara tatu baada ya kutolewa yanga wanasikia ubingwa kwenye bomba
Mbumbumbu hiyo haijielewi.Wabongo buana...
Kwa hiyo na Karia kaipa ubingwa Simba mara 2...
Tenga aliipa ubingwa Yanga mara ngapi?
Rage je naye aliipa Simba ubingwa mara ngapi?
Mkuu ni Taasisi gani iliomshitaki huko FIFA?
Inamaana hata mpira wa UMISETA hatakiwi?
Pointi yangu hapa ni kama atakwenda jela kuna maana gani tena ya kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka ilihali tayari atakuwa hayupo uraiani kwa hiyo miaka kumi?Kwani hukumu ya FIFA ulipoisoma imeandika inamuhukumu kwenda jela?
Japo anahizo kesi ila Malinzi siyo kama unavyodhani,anabiashara zake na kampuni ya usafirishaji (Cargo)Akalime mchicha tu hamna namna
Hatakiwi hata kuonekana ameshika mpira😂Kwa hiyo na huyu kafungiwa asipige hata danadana!!!??
Siyo yeye tu,wote wapo kimaslahi tu ila timing tu kwa MalinziUkitafuta threads humu wakati Jamal Malinzi anawania kuchukua nafasi ya Leodgar Tenga kama President wa TFF, mimi niliwatahadhalisha wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na wadau wote wa soccer nchini kuwa huyo bwana alikuwa anasaka nafasi ile kwa udi na uvumba ili aende kuiba na sio kwenda kuendeleza soccer!! Hilo sasa limethibitishwa na amekwisha hukumiwa na FIFA na bado hukumu ya mahakama za JIWE!!!
Jamali Malinzi ameipasha vema Tanzania kimataifa hususani CCM na serikali kwa ujumla.
Samahani, naomba kujua ni nani au Taasisi gani ilishitaki huko FIFA?
Ahsante
Basi vizuriFIFA wenyewe wana wakina " ASSAD" wao ndio waliogundua kuwa jamaa alipiga fedha walizotoa bongo kwa soccer develpoment!!
Siyo yeye tu,wote wapo kimaslahi tu ila timing tu kwa Malinzi
Na hivi majuzi tu mahakama iliahirisha hukumu ya kesi yake, Ingawa inaonekana ilikuwa tayari bado kusomwa tu.Hii tuhuma kweli haiwezi kuathiri kesi aliyonayo Kisutu?