FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha. hukumu hiyo inamtaka Malinzi kutojihusisha na shughuli zote za kimichezo kuanzia kwenye utawala na masuala yote yanayohusisha soka

Malinzi.jpg

Zaidi soma

The adjudicatory chamber of the independent Ethics Committee has found Mr Jamal Emil Malinzi, a former President of the Tanzania Football Federation (TFF) and a former FIFA standing committee member, guilty of having misappropriated FIFA funds and falsified an official document, in violation of the FIFA Code of Ethics.

The investigation into Mr Malinzi was related to the misappropriation of FIFA Financial Assistance Programme (FAP) funds, as well as other CAF and TFF funds, in the period between 2013 and 2017, and the forgery of a TFF Executive Committee resolution.

In its decision, the adjudicatory chamber found that Mr Malinzi had breached articles 24 (Forgery and falsification) and 28 (Misappropriation of funds) of the 2018 edition of the FIFA Code of Ethics and, as a result, sanctioned him with a ten‑year ban from all football-related activity (administrative, sports or any other) at both national and international level. In addition, a fine in the amount of CHF 500,000 has been imposed on Mr Malinzi.

The decision was notified to Mr Malinzi on Friday, 8 November 2019, the date on which the ban comes into force, and is published on legal.fifa.com. A direct link to the decision is accessible

Source: FIFA
 
Tukienda hivi, tz inaweza anza tengeneza wachezaji wa kweli wenye uwezo usio na 10 percent
 
Ndio anafungwa hivyo maana hawa washathibitisha

Ukitafuta threads humu wakati Jamal Malinzi anawania kuchukua nafasi ya Leodgar Tenga kama President wa TFF, mimi niliwatahadhalisha wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na wadau wote wa soccer nchini kuwa huyo bwana alikuwa anasaka nafasi ile kwa udi na uvumba ili aende kuiba na sio kwenda kuendeleza soccer!! Hilo sasa limethibitishwa na amekwisha hukumiwa na FIFA na bado hukumu ya mahakama za JIWE!!!
 
Mkuu ni Taasisi gani iliomshitaki huko FIFA?
 
FIFA hawana subra, sasa na huku akihukumiwa kwenda ndani miaka 10 hiyo ya FIFA inabaki hivyohivyo?
 
Watamuua mzee wa watu.....halafu inakuaje wanakufungia maisha na faini juu.tena ya bilion moja....au wanazani mpira ni baba yako na mama yako
 
Back
Top Bottom