FIFA yasalimu amri kwa Yanga, yaipa masaa 48 kukamilisha usajili

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo kutoka FIFA.
 
Leta source au wewe ndio wale wenye DD mbili wakasoma degree?
 
FIFA wameilipa Yanga kiasi gani cha pesa?

Vv
 
Ingekua TFF wametusamehe bas wamatopen wangesema tunapendelewa aisee ila fifa walivyockia sio simba tu bali hadi warabu tumechinja pia basi wakaona isiwe tabu waturuhusu tufanye usajili wetu taratibu
 
Leta source au wewe ndio wale wenye DD mbili wakasoma degree?
Wewe subiri source wakati wenzako tayari wameshatupia usajili na dirisha litafungwa muda si mrefu!!!!

Yanga inafahamika TFF, CAF na FIFA kwamba ina majukumu mengi hivyo siyo lazima itii kila Dead Line.

Nani kama Yanga? Go go go Young Africans SC International.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…