Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi saana yanga, yanga imara,hakunaga, yanga >fifaKuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo kutoka FIFA.
Kusalimu amri maana yake ni kukubaliana na hoja iliyotolewa, si lazima iwe kuzidiwa nguvu.FIFA ip hyo iliyosalimu amri?
huu utan sasa 😀😀😀
Leta source au wewe ndio wale wenye DD mbili wakasoma degree?Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo kutoka FIFA.
FIFA wameilipa Yanga kiasi gani cha pesa?Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo kutoka FIFA.
Wewe subiri source wakati wenzako tayari wameshatupia usajili na dirisha litafungwa muda si mrefu!!!!Leta source au wewe ndio wale wenye DD mbili wakasoma degree?