Modric
Ronaldo atakoma
Nilimwonea huruma ile ya UEFA waliyomtosa, ni noma.
Jamaa jeuri huko alipoenda hata penati hapati
Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh teh teh[emoji23] [emoji23]Kamtoe Salah kama una ubavu muweke Messi ili iwe ni Messi, Ronaldo na Modric.....
Messi kutokuwemo ile ya UEFA ni sahihi.Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.