RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyokosa ile tuzo ndo nilipojua mpira una wamiliki, yaani Modric UEFA!
Bora hata FIFA kwa kigezo cha WC.
Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
SiasA tu mpira wa modirck na sarah wa kawaida sana bado tuzo ni mess na ronaldo wengine ni bahati tu na mafanikio ya timu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufahamu wako ni mdogo mkuu. Hata UEFA pia wanatizama kigezo cha world Cup. Fatilia vizuri taratibu za tunzo.
Ufahamu wako juu ya masuala ya Award bodu ni mdogo mkuu. Iwe UEFA, iwe Baloon, Iwe Fifa vigezo nihivohivo. Kwaiyo huwezi sema huku ni sahihi huku si sahihi.