Fifa yatoa majina matatu tuzo za mchezaji bora wa fifa,Messi aachwa

Ufahamu wako juu ya masuala ya Award bodu ni mdogo mkuu. Iwe UEFA, iwe Baloon, Iwe Fifa vigezo nihivohivo. Kwaiyo huwezi sema huku ni sahihi huku si sahihi.
 
SiasA tu mpira wa modirck na sarah wa kawaida sana bado tuzo ni mess na ronaldo wengine ni bahati tu na mafanikio ya timu zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Messi na Ronaldo unaowazungumzi niwale mpaka hii leo world cup ya 4 kila mmoja hakuna aliyewahi kufungua goli ndani ya hatua za mtoano katika world cup.
 
Ufahamu wako ni mdogo mkuu. Hata UEFA pia wanatizama kigezo cha world Cup. Fatilia vizuri taratibu za tunzo.

Ufahamu wako juu ya masuala ya Award bodu ni mdogo mkuu. Iwe UEFA, iwe Baloon, Iwe Fifa vigezo nihivohivo. Kwaiyo huwezi sema huku ni sahihi huku si sahihi.

Sitashangaa mwenye asiye na ufahamu kabisa kuwaambia wenye ufahamu kwamba wanao mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…