Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwani basketball siyo mpira!?Achana na Mpira Twende Kwenye Jukwaa La Basketball [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii habari imeeleza vizuriMgogoro wa mchezaji Asante Kwasi na klabu ya Simba haukuanza leo. Baada ya mkataba wake kuvunjwa na Simba miaka miwili iliyopita, Kwasi alipeleka malalamiko FIFA akida..
Soma zaidi hapa : Sakata la Kwasi liko hivi
Kwani umeambiwa halipwi? Milioni 9 siyo ishu kabisa kwa Simba.Mada kama hizi kuna baadhi ya mbumbumbu huwa wanajificha kuchangia! kwa sababu tu ya aibu na umbumbumbu!
Wenyewe wakisikia fulani anaidai timu yake ya zamani, wanaona ni jambo la ajabu sana! Haya sasa! Mlipeni Asante Kwasi hela yake. Siyo Amis Tambwe huyo au Dante! Ni Mchezaji wenu wa zamani, Asante Kwasi.
Naona wanga wameweka LIKE hii kitu...Wakuu Imekuaje Tena Kemcho akashindwa Kumlipa Asante Kwasi?[emoji849][emoji849]View attachment 1761066
Nimeenda spurce za fifa hamna hii kituWeka Link ya FIFA, tusome hiyo taarifa.
ISHU YA SIMBA KUFUNGIWA KISA KWASI NA FIFA BARUA IPO HIVIhii taarifa haina ukweli
Dawa ya Deni kulipa na sio mipasho.
Simba walishajibu kwamba ni habari feki acha kukata maunoDawa ya Deni kulipa na sio mipasho.
Alafu naona viongozi wa Simba wanapiga tu propaganda kwenye issue cretical kama hii!Mgogoro wa mchezaji Asante Kwasi na klabu ya Simba haukuanza leo. Baada ya mkataba wake kuvunjwa na Simba miaka miwili iliyopita, Kwasi alipeleka malalamiko FIFA akida..
Soma zaidi hapa : Sakata la Kwasi liko hivi
Yanga wanabebwa na Gsm kwa kuchukua mapinduzi cup? Maana kama ni kumaliza nafasi ya pili yanga walikuwa wakimaliza kabla hata ya GSM kuja .... tatizo ni ubingwa wa vpl na GSM hawawezi kuisadia yanga katika hilo hata wakae miaka 100 as longer as Mo yupo simba scUkiwaaambia mbumbumbu fc Yanga na Simba ziko vilevile hakuna kilicho badilika Wana bisha. Izo timu Zina bebwa na fedha za watu MO na GSM ao jamaa wakiondoka hakuna chochote kinacho fanyika. Hizo timu hazina msingi wowote wa kuji beba.
Hata wa dhikri uchi kipigo kiko pale palekitengo cha propaganda za Yanga huwa kinajua kucheza vizuri kuelekea mechi ya watani
Wakishindwa kulipa kwa muda huo ndiyo wanafungiwa.Kwa Hyo Taarifa ya Kufungiwa Haipo?