FIFA yawafungia Simba Sports Club Kusajili Ndani mwaka mmoja Kwa Kosa La Kutomlipa Asante Kwasi

FIFA yawafungia Simba Sports Club Kusajili Ndani mwaka mmoja Kwa Kosa La Kutomlipa Asante Kwasi

Mada kama hizi kuna baadhi ya mbumbumbu huwa wanajificha kuchangia! kwa sababu tu ya aibu na umbumbumbu!

Wenyewe wakisikia fulani anaidai timu yake ya zamani, wanaona ni jambo la ajabu sana! Haya sasa! Mlipeni Asante Kwasi hela yake. Siyo Amis Tambwe huyo au Dante! Ni Mchezaji wenu wa zamani, Asante Kwasi.
 
Kwani umeambiwa halipwi? Milioni 9 siyo ishu kabisa kwa Simba.
 
IMG_20210423_160550.jpg
 
Ukiwaaambia mbumbumbu fc Yanga na Simba ziko vilevile hakuna kilicho badilika Wana bisha. Izo timu Zina bebwa na fedha za watu MO na GSM ao jamaa wakiondoka hakuna chochote kinacho fanyika. Hizo timu hazina msingi wowote wa kuji beba.
Yanga wanabebwa na Gsm kwa kuchukua mapinduzi cup? Maana kama ni kumaliza nafasi ya pili yanga walikuwa wakimaliza kabla hata ya GSM kuja .... tatizo ni ubingwa wa vpl na GSM hawawezi kuisadia yanga katika hilo hata wakae miaka 100 as longer as Mo yupo simba sc
 
Back
Top Bottom