Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kagame ni dictator smartRais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua Uwanja wa Michezo jijini Kigali uliopewa jina la Pele, kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil aliyefariki Desemba, 2022...
Aachagi fursa uyu jamaa minamkubali sana yuko vizuri.Kagame yuko faster sio hizi mediocres
Kivipi iwe sawa? Watu wanaozindua majengo au biashara za watu wanakua wamejenga waoUwanja umejengwa na nani.? Kama fifa ndio wamejenga bc sawa
Kagame yuko faster sio hizi mediocres
Mpaka sasa hivi bado tukumbushane swala la picha kwa habari kama hii?
Kivipi iwe sawa? Watu wanaozindua majengo au biashara za watu wanakua wamejenga wao
Sasa mzee yani nchi ijenge uwanja kwa gharama zao afu uitwe kwa jina la mtu wa nje tena ht hana uhusiano wowote na nchi yako unaona ni sawa.?Kivipi iwe sawa? Watu wanaozindua majengo au biashara za watu wanakua wamejenga wao
Unahisi ni jibu gn nalihitajiKuna jibu flani analitaka….hii nchi tuna kazi kubwa!
Duh acha masihara Azam embu nitajie viwanja vinavyoingiza watu 22000 Tanzania ukitoa taifa, tena vyenye facilities zote za kisasaUwanja wa kuchukua watu 22,000 ni uwanja wa halmashauri ya wilaya tu huku bongo.
Hapa Tanzania Kuna barabara ngapi au mitaa mingapi Ina majina ya watu ambayo sio watanzania???Sasa mzee yani nchi ijenge uwanja kwa gharama zao afu uitwe kwa jina la mtu wa nje tena ht hana uhusiano wowote na nchi yako unaona ni sawa.?
Chamazi yenyewe inaingiza watu 10,000 tuUwanja wa kuchukua watu 22,000 ni uwanja wa halmashauri ya wilaya tu huku bongo.