FIFA yazindua uwanja wa Pele Nchini Rwanda. Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe jina la Pele?

FIFA yazindua uwanja wa Pele Nchini Rwanda. Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe jina la Pele?

Hapa Tanzania Kuna barabara ngapi au mitaa mingapi Ina majina ya watu ambayo sio watanzania???
Kibaki road, moi avenue na utitiri mwingine wa majina!!!

Usilete excuse kua ni viongozi sijui wa nchi au, stadium ni ya mpira na Pele ndio icon wa mpira Duniani sioni tatizo lolote?
Icon kwako
 
U
Uwanja wa kuchukua watu 22,000 ni uwanja wa halmashauri ya wilaya tu huku bongo.
Uwanja wa uhuru zamani ilikua na uwezo wa kuchukua watu 15000 tu
 
IMG_1290.jpg

Na congress ya fifa wataifanyia kwenye ukumbi wao wa mikutano nawakumbusha mikutano na makongamano ya kimataifa mengi hufanyikia kigali sio Tanzania tena kwa ukanda huu
 
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022.

Hadi sasa 'Viwanja vya Pele' duniani ni Estádio Rei Pelé - Brazil, Estadio Bello Horizonte Rey Pelé - Colombia, Estádio Nacional de Cabo Verde - Cape Verde, Estádio Pelé - FIFA Zürich' na Kigali Pelé Stadium - Rwanda.

Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe Jina la Pele?
Jangwani
 
Kagame invested $5M for World FIFA Congress.

In return he gets to almost $100M of ripple effects/returns.
 
Kujipendekeza tu ,tutumie majina ya wachezaji wetu
 
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022.

Hadi sasa 'Viwanja vya Pele' duniani ni Estádio Rei Pelé - Brazil, Estadio Bello Horizonte Rey Pelé - Colombia, Estádio Nacional de Cabo Verde - Cape Verde, Estádio Pelé - FIFA Zürich' na Kigali Pelé Stadium - Rwanda.

Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe Jina la Pele?
Hakuna ulazima wa kutumia jina la Pele tuna majina yetu tele
 
😎😎 huo wa Mkapa ubadilishwe jina.

uitwe MkapaPele
 
Back
Top Bottom