Icon kwakoHapa Tanzania Kuna barabara ngapi au mitaa mingapi Ina majina ya watu ambayo sio watanzania???
Kibaki road, moi avenue na utitiri mwingine wa majina!!!
Usilete excuse kua ni viongozi sijui wa nchi au, stadium ni ya mpira na Pele ndio icon wa mpira Duniani sioni tatizo lolote?
Rwanda kuna viwanjwa vikali sana vya basket ball ( vidogo ) ,
Yani ukipiga picha ni kama mbele
JangwaniRais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022.
Hadi sasa 'Viwanja vya Pele' duniani ni Estádio Rei Pelé - Brazil, Estadio Bello Horizonte Rey Pelé - Colombia, Estádio Nacional de Cabo Verde - Cape Verde, Estádio Pelé - FIFA Zürich' na Kigali Pelé Stadium - Rwanda.
Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe Jina la Pele?
Kagame yupo fit
Anapora madini, hanunui.Kagame ni mjanja kiuchumi, ananunua madini kwa bei poa hasa kwa wale waliolalia masikio na kwenda kuuza kwa bei ya juu.
Hakuna ulazima wa kutumia jina la Pele tuna majina yetu teleRais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022.
Hadi sasa 'Viwanja vya Pele' duniani ni Estádio Rei Pelé - Brazil, Estadio Bello Horizonte Rey Pelé - Colombia, Estádio Nacional de Cabo Verde - Cape Verde, Estádio Pelé - FIFA Zürich' na Kigali Pelé Stadium - Rwanda.
Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe Jina la Pele?
NakaziaMpaka sasa hivi bado tukumbushane swala la picha kwa habari kama hii?