Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Naam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ni koloni la Tanganyika hilo kila mtu anajua
Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani na zanzibar kabla ya wakoloni ilikuwa kitu kimoja.
Mawakala wa ccm mmeongea uongo hadi umeisha, sasa mnasema kweliWazanzibari mnalalamika nini?
Mkitaka msitake nyie ni koloni la Tanzania Bara.
Kwaheri Ukoloni, kwaheri Uhuru ni title ya kitabu, ukikisoma utaelewa kuwa uhuru wa Zanzibar uliisha na kinachoitwa mapinduzi.
Kitabu hicho nimemuona mnadhimu wa KUB Tundu Lissu akikinukuu mara kwa mara bungeni. Hata siku aliyompasha Nyerere alikinukuu.
Jipatie kitabu hicho bure ili uelewe kuwa Zanzibar si leo ni zamani kiasi ilipoteza uhuru wake:
Free Downloading ya Kitabu
ili uwemwanachama wa fifa lazima uwe nchi nchi huru.....ndio maana hata taiwan sio mwanachama wa FIFA coz si nchi huruKuna huu ujumbe mzito ulienda Zurich, Uswisi, kuiombea ZFF uanachama wa FIFA ukiongozwa na Naibu Waziri Kiongozi wa wakati huo Juma Shamhuna, Naibu Waziri wa Michezo Joel Bendera na wengineo kutoka TFF na ZFF.
FIFA iliporudisha majibu faili likafichwa, wakakaa kimya kirefu kumbe wamepigwa chini. Imefahamika Bungeni leo kwa taarifa ya Nape Nnauye, Waziri wa Michezo alipolazimika kujibu swali la Mbunge wa Zanzibar, Hafidh Tahir.
Sababu zilizotolewa: FIFA imesema, kwa mujibu wa ibara ya 10 ya katiba ya FIFA, ZFF haiwezi kupata uanachama kwa vile Zanzibar hapa duniani sio nchi!
Je, Muungano unawazuia Zanzibar kupata misaada ya FIFA kama ilivyokuwa kwa OIC na hivyo kushindwa kuwa "Singapore"?
kumbe Zenji sio nchi? basi tunataka katiba mpyaWazanzibari mnalalamika nini?
Mkitaka msitake nyie ni koloni la Tanzania Bara.
Kwaheri Ukoloni, kwaheri Uhuru ni title ya kitabu, ukikisoma utaelewa kuwa uhuru wa Zanzibar uliisha na kinachoitwa mapinduzi.
Kitabu hicho nimemuona mnadhimu wa KUB Tundu Lissu akikinukuu mara kwa mara bungeni. Hata siku aliyompasha Nyerere alikinukuu.
Jipatie kitabu hicho bure ili uelewe kuwa Zanzibar si leo ni zamani kiasi ilipoteza uhuru wake:
Free Downloading ya Kitabu
kumbe Zenji sio nchi? basi tunataka katiba mpya
Mawakala wa ccm mmeongea uongo hadi umeisha, sasa mnasema kweli
Nakumbuka lakini ndiye pekee aliyewahi kujitokeza kupasua ukweli wengine huwa mko kimyaHakuna kitu hicho duniani.
Pinda aliwaambia LIVE bungeni, umesahau?
Nakumbuka lakini ndiye pekee aliyewahi kujitokeza kupasua ukweli wengine huwa mko kimya
Hii hapa[emoji121]Kuna huu ujumbe mzito ulienda Zurich, Uswisi, kuiombea ZFF uanachama wa FIFA ukiongozwa na Naibu Waziri Kiongozi wa wakati huo Juma Shamhuna, Naibu Waziri wa Michezo Joel Bendera na wengineo kutoka TFF na ZFF.
FIFA iliporudisha majibu faili likafichwa, wakakaa kimya kirefu kumbe wamepigwa chini. Imefahamika Bungeni leo kwa taarifa ya Nape Nnauye, Waziri wa Michezo alipolazimika kujibu swali la Mbunge wa Zanzibar, Hafidh Tahir.
Sababu zilizotolewa: FIFA imesema, kwa mujibu wa ibara ya 10 ya katiba ya FIFA, ZFF haiwezi kupata uanachama kwa vile Zanzibar hapa duniani sio nchi!
Je, Muungano unawazuia Zanzibar kupata misaada ya FIFA kama ilivyokuwa kwa OIC na hivyo kushindwa kuwa "Singapore"?
Labda hukunielewa dada faiza kuwa uko sahihi, shida yangu ni wenzio walio wengi kusita kujitokeza hadharani kuwaambia ukweli wa zenj kuwa znz sio nchi kamiliUmeisoma post namba moja?
Kuna mtoto wa Marehemu Chacha Wangwe yupo Kisutu sijui kisa kasema Zanzibar nini nini ......ngoja nikae kimya tu