Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
NAIROBI, KENYA: Watu 50 wameambukizwa kipindupindu katika Hoteli moja walipohudhuria mkutano wa afya. Inahofiwa idadi ikaongezeka.
Waathirika wote wametengwa ili kuepusha kusambaa zaidi kwa maambukizi hayo. Mpaka sasa chanzo cha mlipuko huo hakijafahamika ingawa ugonjwa huo huweza kuambukiza kupitia chakula na maji.
=======
At least 50 people have contracted cholera at a hotel hosting a health conference in Kenya's capital, Nairobi, officials say warning that the number of cases could rise. They add that all those infected are now in isolation in a city hospital.
The source of the disease is still not yet clear but it is normally transmitted through infected food or water.
Last month, five people died of cholera in Nairobi forcing authorities to set up surveillance centres across the capital.
Source: BBC Africa