Fight or flight? Dilemma of Kenyan investors in TZ

......i see that everyday in nairobi.you are damn right.lol
 
Waache wakimbie soko limewashinda, tupo waTanzania wengi ambao tumeweza kufanya biashara katika masoko magumu (hostile nations), tukisikia jinsi wanavyolalamika tunabaki kucheka tuu...:eyebrows:

Jamani kama mmeshindwa shughuli tunaomba mtuachie nchi yetu tutafanya biashara wenyewe....:A S-coffee:
 

Bila kutoa rushwa biashara haiendi. Na kama wewe ni mfanya biashara Tanzania, there is now way you're going to honestly tell me that hujawahi kutoa rushwa for the sake of your business. Ukija hapa na good practices za biashara lazima uliwe.

Ndio maana wafanyabiashara wa Kitanzania kwenye mpaka wa Holili/Taveta wanalalamika kuzuiliwa kuuza mahindi Kenya simply because one Tanzania big company has been given the monopoly to transport maize to Kenya at the expense of small-scale traders. Utakuta hii either ni kampuni ya mkubwa mmoja au imetoa rushwa imonopolise biashara yote.

Hata kama unadai Wakenya watuachie nchi yetu na wale small-sclae traders wa Kitanzania pale Holili/Taveta watanufaika na nini? Arguments nyingine zimekaa kilevilevi utadhani mtu katoka kwenye bar break ya kwanza JF. Acheni kutuabisha na vi-argument vilivyokaa kigossip.
 

Ndio nimetoka baa sasa hivi (East Gate) tena nilikuwa nakunywa na waKenya na waGanda lakini najua ninachosema na wala simun'gunyi maneno!...
:hat:
Kama biashara imewashinda waache mambo ya ku-throw tantrums...:A S-coffee:

Unaonekana ni kijana/binti ambaye hujui unachokisema hivi kweli unaweza kuilinganisha rushwa ya Tanzania na ile ya Kenya????:A S-coffee:
 

Kweli humumunyi Mkuu. Rushwa ni rushwa tuu. Hakuna rushwa nzuri wala mbaya. Lakini kama ningetaka kujibu swali lako kwenye red ni hivi:

Tanzania is more corrupt than Kenya – report

Corruption has worsened in Tanzania over the last year, overtaking neighbouring Kenya in bribery prevalence level, according to a new report. According to the East Africa Bribery Index (2011) report, Tanzania has moved one place to occupy the third position from fourth last year, a call for the country to revisit its strategies in taming the vice.

Corruption has increased 3 per cent from 28.6 per cent last year to 31.6 per cent this year, a situation observers say is a wake-up call for authorities to step up anti-corruption measures. According to a survey conducted among 12,924 respondents across Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi, the bribery prevalence level was ranked highest in Burundi at 37.9 per cent while Rwanda retained the most positive outlook at 5.1 per cent.

Kenya recorded an improved ranking falling from the third to the fourth. At the institutional level, the police, the judiciaries and revenue authorities across the different countries were poorly rated, with all the police departments appearing in the list of the top ten most bribery-prone institutions.

The judiciary in Uganda and Tanzania are also listed among the top ten. It also emerged that the level of reportage of bribery cases remained marginally low in the five countries. The main reasons for this trend, researchers observed, were the fear of intimidation and low confidence in the institutions tasked with receiving graft-related complaints.
 
Kweli humumunyi Mkuu

Tanzania is more corrupt than Kenya – report

Inawezekana hayo ni mabadiliko ya mda mfupi...subiri 2015:A S-coffee:

Source/chanzo ni kipi????
 
Inawezekana hayo ni mabadiliko ya mda mfupi...subiri 2015:A S-coffee:
Yes, ni mabadiliko ya muda mfupi. Because 2010, Kenya was worse than Tanzania. But just in one year Tanzania corruption was worse than Kenya. Kwa hiyo ikifika 2015, it will be even worse. So, ni sahihi kabisa kama ulivyosema.

Source/chanzo ni kipi????

Kwani wewe ulitoa source ulipodai rushwa ya Kenya ni mbaya kuliko ya Tanzania?
 

Katika EAC the leeast corrupt country ni Rwanda followed by Tanzania angalia hapo chini:

 
Katika EAC the leeast corrupt country ni Rwanda followed by Tanzania angalia hapo chini:

Kwa hiyo rushwa Tanzania kuwa 3.0 na Kenya 2.2 kwako ni bonge na dili eh? Yaani unaona tumewapiga Wakenya bao la kisigino sio? Ukweli utakia kuwa rushwa is prevalence in East Africa regardless of whether Tanzania ni 3.0 and Kenya 2.2.

I case you want the source for my earlier post, here you go: news room/latest news/press_releases_nc/2011/2011_10_20_East_African_Bribery_Index_2011

In 2011, Burundi has a bribery prevalence level of 37.9% up from 36.7% in 2010, while Uganda and Tanzania have been ranked second and third at 33.9% and 31.6% respectively, both up from 33% and 28.6% in 2010. Kenya recorded a slight improvement at 28.8% down from 31.9% in 2010.
 
...Much respect! A good sermon, rev!
 
...World renowned economists? pleaaaase! Why did they fail to see [or for that case, point out] that those growth figures do mean nothing to the economy, as a whole. What a waste!
 

Sio wote wanaodai wanapata hasara ni wa-kweli. Mara nyingi ni 'strategy' ya kukwepa kodi.

Kuna ukweli lakini kuhusu imani kwa mabenki ya tz kuliko mabenki mapya ya kigeni.
Kutokana na utapeli uliofanywa na benki ya Meridian sasa hivi watu wanakuwa na tahadhari sana na mabenki mapya kwenye soko.

Kuna swala la ukiritimba usio wa lazima pia kwenye mabenki yanayokwamisha kupata wateja wapya.
Mfano unaenda benki kufungua akaunti na vitambulisho bado unaambiwa uwe na wadhamini wenye akaunti kwenye benki hiyo hili ni sharti la kipuuzi sana.

Nafikiri njia nzuri ya kuwekeza ni kuwekeza kwenye uzalishaji hapa hapa nchini kwa hiyo walaji watanunua kama bidhaa ya tz hata kama imetengenezwa na kampuni ya kigeni kama ilivyo kwa SAAB. Hili ndio linafanyika hata China makampuni makubwa yanaweka viwanda CN kwa ajili ya soko na gharama ndogo za uzalishaji.

Huu uwekezaji wa kichuuzi chuuzi hata ukifa hauna madhara.
 
Woolworth is worthless..watanzania walikuwa wanatembea uchi kabla hawajaja? waende huko na nguo zao za dola 200. Hizo nguo si kipaumbele....semeni vimgine vya maana!

kenyans are always talking **** when it comes to Woolworth story...sasa cjui wanaenjoy kutuuzia nguo za kichina kwa mahela kibaaaaoo au walizani hapa Tanzania ndo kuna mafala wa kununua nguo za kichina kwa bei juu hivo??maduka ya pamba yapo kibao tu na yanauza nguo za ukweli tu na Woolworth kufunga duka lao haina any effect kwetu watanzania...na hao KCB kama wanafanya hasara wafunge tu biashara warudi kenya we have enough banks hapa bongo...
 
na kweli umenena

 
Tatizo hili sijui litaisha lini?

Yaani badala ya waafrika kuheshimiana wanatukanana

Ningetamani nione wakenya wanasoma Tanzania, na watanzania wanasoma kenya and vice versa

Ningetamani kuona kuna railway line zinazounganisha nchi hizi hadi ethiopia,cameroun nigeria etc..

wakenya wengi ni choka mbaya kama walivyo watanzania wengi mnajisumbua bure kudharauliana

NB. nina interest kenya nimeoa huko lakini nikienda kila mwaka kwa wakwe zangu vijijin hali ni mbaya kama ilivyo Tanzania..embu tubadilike tu-address issue zetu fairly..

Rushwa, uongozi usiojali wananchi maskini, ni matatizo yetu makubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…