Figisu: Basi la Mamelodi la kuwapokea Yanga lasimama njiani na kuwaomba wasubiri litengenezwe, Yanga waamua kutumia hiace ndogo

Sahihi kabisa mkuu ila hizi bure maranyingi haziaminiki hasa hoteli
Hivi ujifanye mjuwaji South Africa mkavamiwa na magenge ya Wahuni mtamlaumu nani?

Mpira unakwenda kuchezwa kwenye pitch.
 
Si ndio hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…